Crochet style ni style ambayo inavuma sana kwa kipindi cha sasa ,style hii haimkatai mtu kila anaesuka style hii inampendeza na kumfanya aonekane wa kisaasa zaidi.
watu wengi sana wanajiuliza nywele hizi zinasukwaje ila mim bloggger wenu nimeamua niwatafutie fundi anaejua kusuka style hii....video ni mahususi kwa wadada wa salini ambao wanatamani kujua jinsi ya kusuka style hii..pia style hii ya nywele unaweza kusuka mwenyewe ukiwa home....changamka mdada
#Ann#







