Navigation

Wednesday, 14 September 2016

STYLE MPYA KWA WADADA WA MJINI

Crochet style ni style ambayo inavuma sana kwa kipindi cha sasa ,style hii haimkatai mtu kila anaesuka style hii inampendeza na kumfanya aonekane wa kisaasa zaidi. watu wengi sana wanajiuliza nywele hizi zinasukwaje ila mim bloggger wenu nimeamua niwatafutie fundi anaejua...